sw_tn/lev/26/44.md

424 B

nitalikumbuka agano langu na baba zao

: "Nitatimiza agano langu na babu zao.

Maelezo kwa Ujumla

Hili lina hitimisha ujumbe wa Yahweh kwa Musa katika mlima wa Sinai kuhusiana na baraka kwa utii na adhabu kwa kutotii.

machoni pa mataifa

Hii huwakilisha ufahamu wa mataifa. ": "katika ufahamu wa mataifa" au "nayo mataifa yajue kuhusu hili"

mataifa

Hili huwakilisha watu wa mataifa. "machoni pa watu wa mataifa"