sw_tn/lev/26/37.md

28 lines
931 B
Markdown

# Taarifa kwa Ujumla
Yahweh anaendelea kuelezea kitachotokea kwa Waisraeli watakapolazimisha kwenda mataifa ya adui zao.
# kana kwamba mlikuwa mkiukimbia upanga
Tazama maelezo kuhusu upanga na uwakilishi wake katika mistari iyotangulia
# kusimama mbele za aduii zenu
Kusimama mbele za adui huwakilisha kuanguka adui wanawapovamia na kupigana dhidi yao. : "kuwazuia adui zenu wanawavamia ninyi" au "kujibu mapigo dhidi ya adui zenu"
# nayo nchi ya adui zenu yenyewe itawamezeni
Yahweh anaongelea kuhusu nchi ya maadui kana kwamba ilikuwa mnyama pori ambaye angewala Waisraeli. Lile neno "meza" husisitiza kwamba wengi wa Waisraeli watafia huko. : "matfia katika nchi ya adui zenu"
# Wale watakosalia miongoni mwenu
"Wale wa kwenu ambao wasiokufa"
# wataangamia katika dhambi zao
Kuangamia katika dhambi zao huwakilisha kuangamia kwa sababu ya dhambi zao.
# dhambi za baba zao
Hapa "za baba zao" huwakilisha wababu wao