sw_tn/lev/26/37.md

931 B

Taarifa kwa Ujumla

Yahweh anaendelea kuelezea kitachotokea kwa Waisraeli watakapolazimisha kwenda mataifa ya adui zao.

kana kwamba mlikuwa mkiukimbia upanga

Tazama maelezo kuhusu upanga na uwakilishi wake katika mistari iyotangulia

kusimama mbele za aduii zenu

Kusimama mbele za adui huwakilisha kuanguka adui wanawapovamia na kupigana dhidi yao. : "kuwazuia adui zenu wanawavamia ninyi" au "kujibu mapigo dhidi ya adui zenu"

nayo nchi ya adui zenu yenyewe itawamezeni

Yahweh anaongelea kuhusu nchi ya maadui kana kwamba ilikuwa mnyama pori ambaye angewala Waisraeli. Lile neno "meza" husisitiza kwamba wengi wa Waisraeli watafia huko. : "matfia katika nchi ya adui zenu"

Wale watakosalia miongoni mwenu

"Wale wa kwenu ambao wasiokufa"

wataangamia katika dhambi zao

Kuangamia katika dhambi zao huwakilisha kuangamia kwa sababu ya dhambi zao.

dhambi za baba zao

Hapa "za baba zao" huwakilisha wababu wao