sw_tn/lev/26/29.md

12 lines
410 B
Markdown

# Nitapaangamiza ... kuziangusha ... kuzitupa maiti zenu
Kwa sababu Mungu atatuma jeshi kufanya mambo haya, anazungumzia kana kwamba atayafanya. : "Nitatuma jeshi ala adui ili kuangamiza ... kuangusha chini ... kutupa maiti zenu"
# maiti zenu
"mizoga ya miili yenu"
# maiti za sanamu zenu
Mungu anazungumzia sanazisizo na uhai kana kwamba zilikuwa na uhai na kisha zikafa. : "sananmu zenu zisizo na uhai"