# Nitapaangamiza ... kuziangusha ... kuzitupa maiti zenu Kwa sababu Mungu atatuma jeshi kufanya mambo haya, anazungumzia kana kwamba atayafanya. : "Nitatuma jeshi ala adui ili kuangamiza ... kuangusha chini ... kutupa maiti zenu" # maiti zenu "mizoga ya miili yenu" # maiti za sanamu zenu Mungu anazungumzia sanazisizo na uhai kana kwamba zilikuwa na uhai na kisha zikafa. : "sananmu zenu zisizo na uhai"