sw_tn/lev/26/29.md

410 B

Nitapaangamiza ... kuziangusha ... kuzitupa maiti zenu

Kwa sababu Mungu atatuma jeshi kufanya mambo haya, anazungumzia kana kwamba atayafanya. : "Nitatuma jeshi ala adui ili kuangamiza ... kuangusha chini ... kutupa maiti zenu"

maiti zenu

"mizoga ya miili yenu"

maiti za sanamu zenu

Mungu anazungumzia sanazisizo na uhai kana kwamba zilikuwa na uhai na kisha zikafa. : "sananmu zenu zisizo na uhai"