sw_tn/lev/26/16.md

24 lines
869 B
Markdown

# kama mtafanya mambo haya
Kila kirai "mambo haya" hurejelea mambo yaliyoorodheswa katika sura 26:14
# Nitasababisha hofu juu yenu
Hapa "hofu" huwakilisha mambo yatakayowasababisha wao kuhofu. : "Nami nitatuma maafa yatayowaogofya ninyi"
# kuondoa uhai wenu
"Nitayaondoa taratibu maisha yenu" auNitaninyi mfe pole pole" . Ni yale magonjwa na homa yatayofanya hivi.
# Mtapanda mbegu zenu kwa hasara
Kile kirai "kwa hasara" humaanisha wasingepata kitu cho chote kutoka kwenye kazi zao. ; "Nanyi mtazipanda mbegu zenu bila faida" au "Nanyi mtazipanda mbegu zenu, lakini hamtapata kitu cho chote kutoka kwake"
# Nitakaza uso wangu dhidi yenu
Hii humaanisha kwamba atakuwa kinyume nao. Uso wake utaonyesha ghadhabu yake naye atapigana dhidi yao.: "Nitakuwa mpinzani kwenu" au "nitakua kinyume chenu"
# na mtashindwa na adui zenu
: "adui zeny watawashinda ninyi"