# kama mtafanya mambo haya Kila kirai "mambo haya" hurejelea mambo yaliyoorodheswa katika sura 26:14 # Nitasababisha hofu juu yenu Hapa "hofu" huwakilisha mambo yatakayowasababisha wao kuhofu. : "Nami nitatuma maafa yatayowaogofya ninyi" # kuondoa uhai wenu "Nitayaondoa taratibu maisha yenu" auNitaninyi mfe pole pole" . Ni yale magonjwa na homa yatayofanya hivi. # Mtapanda mbegu zenu kwa hasara Kile kirai "kwa hasara" humaanisha wasingepata kitu cho chote kutoka kwenye kazi zao. ; "Nanyi mtazipanda mbegu zenu bila faida" au "Nanyi mtazipanda mbegu zenu, lakini hamtapata kitu cho chote kutoka kwake" # Nitakaza uso wangu dhidi yenu Hii humaanisha kwamba atakuwa kinyume nao. Uso wake utaonyesha ghadhabu yake naye atapigana dhidi yao.: "Nitakuwa mpinzani kwenu" au "nitakua kinyume chenu" # na mtashindwa na adui zenu : "adui zeny watawashinda ninyi"