sw_tn/lev/26/16.md

869 B

kama mtafanya mambo haya

Kila kirai "mambo haya" hurejelea mambo yaliyoorodheswa katika sura 26:14

Nitasababisha hofu juu yenu

Hapa "hofu" huwakilisha mambo yatakayowasababisha wao kuhofu. : "Nami nitatuma maafa yatayowaogofya ninyi"

kuondoa uhai wenu

"Nitayaondoa taratibu maisha yenu" auNitaninyi mfe pole pole" . Ni yale magonjwa na homa yatayofanya hivi.

Mtapanda mbegu zenu kwa hasara

Kile kirai "kwa hasara" humaanisha wasingepata kitu cho chote kutoka kwenye kazi zao. ; "Nanyi mtazipanda mbegu zenu bila faida" au "Nanyi mtazipanda mbegu zenu, lakini hamtapata kitu cho chote kutoka kwake"

Nitakaza uso wangu dhidi yenu

Hii humaanisha kwamba atakuwa kinyume nao. Uso wake utaonyesha ghadhabu yake naye atapigana dhidi yao.: "Nitakuwa mpinzani kwenu" au "nitakua kinyume chenu"

na mtashindwa na adui zenu

: "adui zeny watawashinda ninyi"