sw_tn/lev/26/05.md

12 lines
400 B
Markdown

# mtakula mkate na kushiba na kuishi
Mkate hapa huwakilisha chakula. "Hata ukamilifu" humaanisha hata matumbo yao lijazwa kwa chakula. : "mtakula chakula mpaka mmejazwa" au "mtakuwa na chakula telea chakula"
# Nami nitatoa amani katika nchi
"Huko nitasababisha kuwa amani katika nchi"
# upanga hautapita katika nchi yenu
Hapa "upanga" huwakilisha majeshi ya adui" au "majeshi yatawashambulieni"