sw_tn/lev/26/05.md

400 B

mtakula mkate na kushiba na kuishi

Mkate hapa huwakilisha chakula. "Hata ukamilifu" humaanisha hata matumbo yao lijazwa kwa chakula. : "mtakula chakula mpaka mmejazwa" au "mtakuwa na chakula telea chakula"

Nami nitatoa amani katika nchi

"Huko nitasababisha kuwa amani katika nchi"

upanga hautapita katika nchi yenu

Hapa "upanga" huwakilisha majeshi ya adui" au "majeshi yatawashambulieni"