# mtakula mkate na kushiba na kuishi Mkate hapa huwakilisha chakula. "Hata ukamilifu" humaanisha hata matumbo yao lijazwa kwa chakula. : "mtakula chakula mpaka mmejazwa" au "mtakuwa na chakula telea chakula" # Nami nitatoa amani katika nchi "Huko nitasababisha kuwa amani katika nchi" # upanga hautapita katika nchi yenu Hapa "upanga" huwakilisha majeshi ya adui" au "majeshi yatawashambulieni"