sw_tn/lev/25/39.md

230 B

hutamfanyisha kazi kama mtumwa. Mtendee kama mtumishi wa kuajiriwa.

Hii humaanisha kwamba mmiliki alikuwa amtendee Mwisraeli kwa heshima kuliko vile ambavyo angelimtendea mtumwa.

Mwaka wa Yubile

Tazama maelezo katika 25:33