sw_tn/lev/25/39.md

8 lines
230 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# hutamfanyisha kazi kama mtumwa. Mtendee kama mtumishi wa kuajiriwa.
Hii humaanisha kwamba mmiliki alikuwa amtendee Mwisraeli kwa heshima kuliko vile ambavyo angelimtendea mtumwa.
# Mwaka wa Yubile
Tazama maelezo katika 25:33