sw_tn/lev/25/31.md

20 lines
562 B
Markdown

# Lakini nyumba za vijijini zisizokuwa na ukuta
Baadhi ya vijiji havikuwa na ukuta kuvizunguka.
# Zaweza kukombolewa, na ni lazima zirejeshwe
"Mnaweza kuzinunua tena nyumba mlizoziuza, na wale waliozinunua sharti wazirejeshe hizo nyumba"
# mwaka wa Yubile
Tazama ulivyofafanuliwa ktika mistari iliyotangulia katika sura hii
# nyumba zinazomilikiwa na Walawi katika miji yao
"zile nyumba wanazozimiliki Walawi katika miji yao"
# zaweza kukombelewa wakati wowote
Hii yaweza kutamkwa katika mtindo wa utendaji. : "Walawi wanaweza kuzikomboa wakati wowote"