sw_tn/lev/25/31.md

562 B

Lakini nyumba za vijijini zisizokuwa na ukuta

Baadhi ya vijiji havikuwa na ukuta kuvizunguka.

Zaweza kukombolewa, na ni lazima zirejeshwe

"Mnaweza kuzinunua tena nyumba mlizoziuza, na wale waliozinunua sharti wazirejeshe hizo nyumba"

mwaka wa Yubile

Tazama ulivyofafanuliwa ktika mistari iliyotangulia katika sura hii

nyumba zinazomilikiwa na Walawi katika miji yao

"zile nyumba wanazozimiliki Walawi katika miji yao"

zaweza kukombelewa wakati wowote

Hii yaweza kutamkwa katika mtindo wa utendaji. : "Walawi wanaweza kuzikomboa wakati wowote"