# Lakini nyumba za vijijini zisizokuwa na ukuta Baadhi ya vijiji havikuwa na ukuta kuvizunguka. # Zaweza kukombolewa, na ni lazima zirejeshwe "Mnaweza kuzinunua tena nyumba mlizoziuza, na wale waliozinunua sharti wazirejeshe hizo nyumba" # mwaka wa Yubile Tazama ulivyofafanuliwa ktika mistari iliyotangulia katika sura hii # nyumba zinazomilikiwa na Walawi katika miji yao "zile nyumba wanazozimiliki Walawi katika miji yao" # zaweza kukombelewa wakati wowote Hii yaweza kutamkwa katika mtindo wa utendaji. : "Walawi wanaweza kuzikomboa wakati wowote"