sw_tn/lev/25/08.md

422 B

Taarifa kwa Ujumla

Yahweh anaendelea kumwambia Musa kiwapassacho watu kutenda.

kutakuwa na Sabato za miaka saba.

"kutakuwa na seti ya miaka saba"

miaka arobaini na tisa

miaka tisa - "miaka 49"

kumi ya mwezi wa saba

Huu ni mwezi wa saba wa kalenda ya Kiebrania. Siku ya kumi ni karibu na mwaisho mwezi wa Septemba katka kalenda ya Magharibi.

Siku ya Upatanisho

Tazama lilivyofasiriwa katia sura ya 23:26