sw_tn/lev/25/08.md

20 lines
422 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa kwa Ujumla
Yahweh anaendelea kumwambia Musa kiwapassacho watu kutenda.
# kutakuwa na Sabato za miaka saba.
"kutakuwa na seti ya miaka saba"
# miaka arobaini na tisa
2021-09-10 19:21:44 +00:00
miaka tisa - "miaka 49"
2019-05-21 20:17:16 +00:00
# kumi ya mwezi wa saba
Huu ni mwezi wa saba wa kalenda ya Kiebrania. Siku ya kumi ni karibu na mwaisho mwezi wa Septemba katka kalenda ya Magharibi.
# Siku ya Upatanisho
Tazama lilivyofasiriwa katia sura ya 23:26