# Taarifa kwa Ujumla Yahweh anaendelea kumwambia Musa kiwapassacho watu kutenda. # kutakuwa na Sabato za miaka saba. "kutakuwa na seti ya miaka saba" # miaka arobaini na tisa miaka tisa - "miaka 49" # kumi ya mwezi wa saba Huu ni mwezi wa saba wa kalenda ya Kiebrania. Siku ya kumi ni karibu na mwaisho mwezi wa Septemba katka kalenda ya Magharibi. # Siku ya Upatanisho Tazama lilivyofasiriwa katia sura ya 23:26