sw_tn/lev/24/19.md

1013 B

Maelezo Unganishi

Mungu anaendelea kumwambia Musa yawasayo watu kutenda mtu mwingine anapofanya mambo mabaya

lazima atendewe vivyo hivyo

Hii yaweza kutamkwa katika mtindo wa utendaji. : "sharti mtende hivyo kwake"

Mvunjiko kwa mvunjiko

Virai hivi vinasisitiza kwamba mtu anapaswa kupokea madhara yale yalele ambayo yeye aliyafanya kwa mwingine.

jicho kwa jicho, jino kwa jin

Tazama aelezo ya sura 24:20

Jino kwa jino

Hii humaanisha jino lililong'olewa kutoka kinywani. : "kama anang'oa jino la mtu mwingine, mojawapo la meno yake litang'olewa" au iwapo anang'oa jino la mtu mwingine, nao watang'oa mojawapo ya meno yake"

Yera kwa jeraha

Hii humaanisha mifupa yenyekuvunjika. : Mfupa uliovunjika kaw amfupa uliovunkia" au "kamaanavunja mfupa wa , mmojawapo wa mifupa yake lazima uvunjwe " au "kama anavunja mfupa wa mtu mwingine, nao watavunja mmojawapo wa mifupa yake"

yeyote auaye mtu lazima auawe

Hii yaweza kutamkwa katika mtingo wa utendaji. : "nao sharti wamuue yeyote auaye mtu"