# Maelezo Unganishi Mungu anaendelea kumwambia Musa yawasayo watu kutenda mtu mwingine anapofanya mambo mabaya # lazima atendewe vivyo hivyo Hii yaweza kutamkwa katika mtindo wa utendaji. : "sharti mtende hivyo kwake" # Mvunjiko kwa mvunjiko Virai hivi vinasisitiza kwamba mtu anapaswa kupokea madhara yale yalele ambayo yeye aliyafanya kwa mwingine. # jicho kwa jicho, jino kwa jin Tazama aelezo ya sura 24:20 # Jino kwa jino Hii humaanisha jino lililong'olewa kutoka kinywani. : "kama anang'oa jino la mtu mwingine, mojawapo la meno yake litang'olewa" au iwapo anang'oa jino la mtu mwingine, nao watang'oa mojawapo ya meno yake" # Yera kwa jeraha Hii humaanisha mifupa yenyekuvunjika. : Mfupa uliovunjika kaw amfupa uliovunkia" au "kamaanavunja mfupa wa , mmojawapo wa mifupa yake lazima uvunjwe " au "kama anavunja mfupa wa mtu mwingine, nao watavunja mmojawapo wa mifupa yake" # yeyote auaye mtu lazima auawe Hii yaweza kutamkwa katika mtingo wa utendaji. : "nao sharti wamuue yeyote auaye mtu"