sw_tn/lev/24/05.md

12 lines
287 B
Markdown

# Maelezo Ungajishi
Mungu anaendea kumwelekeza Musa juu ya vitu kwenye hema la kukutania
# mbili za kumi za efa
Hizi ni kama lita 4.5. : "lita nne na nusu"
# meza ya dhahabu safi mbele za Yahweh
Meza hii ilikuwa mahali pa takatifu, ambayo ilikuwa kabla ya patakatifu pa patakatifu.