sw_tn/lev/24/05.md

287 B

Maelezo Ungajishi

Mungu anaendea kumwelekeza Musa juu ya vitu kwenye hema la kukutania

mbili za kumi za efa

Hizi ni kama lita 4.5. : "lita nne na nusu"

meza ya dhahabu safi mbele za Yahweh

Meza hii ilikuwa mahali pa takatifu, ambayo ilikuwa kabla ya patakatifu pa patakatifu.