sw_tn/lev/24/01.md

12 lines
300 B
Markdown

# Taarifa kwa Ujumla
Mungu anampa Musa maelekezo kuhusu vitu vya hekaluni
# mafuta halisi yaliyokamliwa kutokana na mizeituni
"mafuta halisi ya zeituni
# taa
Hii humaanisha ile taa au zile taa kwenye hema takatifu la Yahweh. hili laweza kufasiriwa kwa uwazi. : "ile taa katika hema la kukutania