# Taarifa kwa Ujumla Mungu anampa Musa maelekezo kuhusu vitu vya hekaluni # mafuta halisi yaliyokamliwa kutokana na mizeituni "mafuta halisi ya zeituni # taa Hii humaanisha ile taa au zile taa kwenye hema takatifu la Yahweh. hili laweza kufasiriwa kwa uwazi. : "ile taa katika hema la kukutania