sw_tn/lev/24/01.md

300 B

Taarifa kwa Ujumla

Mungu anampa Musa maelekezo kuhusu vitu vya hekaluni

mafuta halisi yaliyokamliwa kutokana na mizeituni

"mafuta halisi ya zeituni

taa

Hii humaanisha ile taa au zile taa kwenye hema takatifu la Yahweh. hili laweza kufasiriwa kwa uwazi. : "ile taa katika hema la kukutania