sw_tn/lev/21/10.md

20 lines
850 B
Markdown

# Taarifa kwa Ujumla
Yahweh anaendelea kumwambia kile ambachi makuhani kinachowapasa kufanya.
# Mafuta ya upako
Hii ni kumbukumbu kwa mafuta ya upako yaliyotumika kwenye ibada ya ya kumweka wakfu kuhani mkuu mpya. Maana kamili ya tamko hili yaweza kufanywa wazi.
# ambaye mafuta ya upako yamekwisha kumiminwa kichwani pake, na ambaye amekwisha kuwekwa wakfu
Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "amabye juu ya kichwa chake walimimina mafuta ya upako na kumweka wakfu"
# kamwe hataziacha wazi nywele zake wala hatazirarua nguo zake
Kuacha nywele wazi na kurarua nguo zilikuwa ni ishara ya kuomboleza. Maana kamili ya tamko hili yaweza kufanywa wazi.
# hataondoka eneo takatifu la hema la kukutania
Hii haminishi kwamba kuhani mkuu asingeweza kuondoka . Mungu hakumruhusukuondoka ili kuzunka kwa ajili ya mtu mwingine aliyekufa'