sw_tn/lev/21/10.md

850 B

Taarifa kwa Ujumla

Yahweh anaendelea kumwambia kile ambachi makuhani kinachowapasa kufanya.

Mafuta ya upako

Hii ni kumbukumbu kwa mafuta ya upako yaliyotumika kwenye ibada ya ya kumweka wakfu kuhani mkuu mpya. Maana kamili ya tamko hili yaweza kufanywa wazi.

ambaye mafuta ya upako yamekwisha kumiminwa kichwani pake, na ambaye amekwisha kuwekwa wakfu

Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "amabye juu ya kichwa chake walimimina mafuta ya upako na kumweka wakfu"

kamwe hataziacha wazi nywele zake wala hatazirarua nguo zake

Kuacha nywele wazi na kurarua nguo zilikuwa ni ishara ya kuomboleza. Maana kamili ya tamko hili yaweza kufanywa wazi.

hataondoka eneo takatifu la hema la kukutania

Hii haminishi kwamba kuhani mkuu asingeweza kuondoka . Mungu hakumruhusukuondoka ili kuzunka kwa ajili ya mtu mwingine aliyekufa'