# Taarifa kwa Ujumla Yahweh anaendelea kumwambia kile ambachi makuhani kinachowapasa kufanya. # Mafuta ya upako Hii ni kumbukumbu kwa mafuta ya upako yaliyotumika kwenye ibada ya ya kumweka wakfu kuhani mkuu mpya. Maana kamili ya tamko hili yaweza kufanywa wazi. # ambaye mafuta ya upako yamekwisha kumiminwa kichwani pake, na ambaye amekwisha kuwekwa wakfu Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "amabye juu ya kichwa chake walimimina mafuta ya upako na kumweka wakfu" # kamwe hataziacha wazi nywele zake wala hatazirarua nguo zake Kuacha nywele wazi na kurarua nguo zilikuwa ni ishara ya kuomboleza. Maana kamili ya tamko hili yaweza kufanywa wazi. # hataondoka eneo takatifu la hema la kukutania Hii haminishi kwamba kuhani mkuu asingeweza kuondoka . Mungu hakumruhusukuondoka ili kuzunka kwa ajili ya mtu mwingine aliyekufa'