sw_tn/lev/21/07.md

491 B

Hawataoa

"Makuhani hawataoa"

kwa sababu wametengwa

"kwa sababu wamewekwa kando" (UDB)

Utamtenga

"nyinyi watu itawapasa kuwatendea makuhani kama watakatifu"

kwa sababu yeye ndiye anayetoa mkate kwa Mungu wako

"Mkate" huwakilisha chakula kwa ujumla. Yahweh huwa hali hasa matoleo haya. Yahweh huwa hali chakula isipokuwa wakuhani ndiyo walikula chakula hicho.

Ni lazima ateketezwe kwa moto

Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "Ni sharti mmcho moto hata kufa"