sw_tn/lev/21/07.md

20 lines
491 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Hawataoa
"Makuhani hawataoa"
# kwa sababu wametengwa
"kwa sababu wamewekwa kando" (UDB)
# Utamtenga
"nyinyi watu itawapasa kuwatendea makuhani kama watakatifu"
# kwa sababu yeye ndiye anayetoa mkate kwa Mungu wako
"Mkate" huwakilisha chakula kwa ujumla. Yahweh huwa hali hasa matoleo haya. Yahweh huwa hali chakula isipokuwa wakuhani ndiyo walikula chakula hicho.
# Ni lazima ateketezwe kwa moto
Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "Ni sharti mmcho moto hata kufa"