# Hawataoa "Makuhani hawataoa" # kwa sababu wametengwa "kwa sababu wamewekwa kando" (UDB) # Utamtenga "nyinyi watu itawapasa kuwatendea makuhani kama watakatifu" # kwa sababu yeye ndiye anayetoa mkate kwa Mungu wako "Mkate" huwakilisha chakula kwa ujumla. Yahweh huwa hali hasa matoleo haya. Yahweh huwa hali chakula isipokuwa wakuhani ndiyo walikula chakula hicho. # Ni lazima ateketezwe kwa moto Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "Ni sharti mmcho moto hata kufa"