sw_tn/lev/19/35.md

341 B

usitumie vipimo vya udanganyifu

Hii hukataza desturi ya utuumiaji wa makusudi wa zana zinzosababisha usomaji usio sahihi wakati wa kupima vitu.

Efa

Hiki kilikuwa kipimo cha nafaka.

hini

Hiki kilikuwa kipimo kwa ajili ya vimiminika

Sharti uyatii...na kuyatenda

Virai hivi humaanisha kitu kile kile na husisitiza amri ya kutii.