# usitumie vipimo vya udanganyifu Hii hukataza desturi ya utuumiaji wa makusudi wa zana zinzosababisha usomaji usio sahihi wakati wa kupima vitu. # Efa Hiki kilikuwa kipimo cha nafaka. # hini Hiki kilikuwa kipimo kwa ajili ya vimiminika # Sharti uyatii...na kuyatenda Virai hivi humaanisha kitu kile kile na husisitiza amri ya kutii.