sw_tn/lev/19/35.md

16 lines
341 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# usitumie vipimo vya udanganyifu
Hii hukataza desturi ya utuumiaji wa makusudi wa zana zinzosababisha usomaji usio sahihi wakati wa kupima vitu.
# Efa
Hiki kilikuwa kipimo cha nafaka.
# hini
Hiki kilikuwa kipimo kwa ajili ya vimiminika
# Sharti uyatii...na kuyatenda
Virai hivi humaanisha kitu kile kile na husisitiza amri ya kutii.