sw_tn/lev/19/20.md

24 lines
876 B
Markdown

# aliyeposwa na mume mwingine
Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "liyeahidiwa kuolewa na mwanamume mwingine"
# lakini ambaye hajakombolewa au hajaachwa huru
Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "ambaye mume wake mtarajiwa hajamkomboa au kumpa uhuru"
# lazima waadhibiwe
Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "niyapasa kumwadhibu huyo msichana mtumwa na hyuo mwanaume aliyelala naye"
# Hawatauawa
Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "Haiwapasi kuwaua"
# mtu huyo alete sadaka yake ya hatia kwenye ingilio la hema la kukutania—kondoo dume iwe sadaka ya hatia
Huyo mwanaume atalazimika kuleta kondoo dume kwenye ingili la hema ya kukutania kuwa sadaka ya hatia kwa Yahweh"
# Nayo dhambi iliyotendwa itasamehewa
Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "Naye Yahweh ataisameheme dhambi aliyoitenda"