sw_tn/lev/19/20.md

876 B

aliyeposwa na mume mwingine

Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "liyeahidiwa kuolewa na mwanamume mwingine"

lakini ambaye hajakombolewa au hajaachwa huru

Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "ambaye mume wake mtarajiwa hajamkomboa au kumpa uhuru"

lazima waadhibiwe

Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "niyapasa kumwadhibu huyo msichana mtumwa na hyuo mwanaume aliyelala naye"

Hawatauawa

Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "Haiwapasi kuwaua"

mtu huyo alete sadaka yake ya hatia kwenye ingilio la hema la kukutania—kondoo dume iwe sadaka ya hatia

Huyo mwanaume atalazimika kuleta kondoo dume kwenye ingili la hema ya kukutania kuwa sadaka ya hatia kwa Yahweh"

Nayo dhambi iliyotendwa itasamehewa

Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "Naye Yahweh ataisameheme dhambi aliyoitenda"