sw_tn/lev/19/19.md

8 lines
287 B
Markdown

# Taarifa kwa Ujumla
Yahweh anaendelea kumwambia Musa yawapasayo watu kutenda.
# vazi lililofumwa kwa kutumia nyuzi za rangi mbili tofauti zilizochanganywa pamoja
Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "vazi ambalo mwingine alilitengeneza kutokana na nyuzi za aina mbili"