sw_tn/lev/19/19.md

287 B

Taarifa kwa Ujumla

Yahweh anaendelea kumwambia Musa yawapasayo watu kutenda.

vazi lililofumwa kwa kutumia nyuzi za rangi mbili tofauti zilizochanganywa pamoja

Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "vazi ambalo mwingine alilitengeneza kutokana na nyuzi za aina mbili"