# Taarifa kwa Ujumla Yahweh anaendelea kumwambia Musa yawapasayo watu kutenda. # vazi lililofumwa kwa kutumia nyuzi za rangi mbili tofauti zilizochanganywa pamoja Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "vazi ambalo mwingine alilitengeneza kutokana na nyuzi za aina mbili"