sw_tn/lev/19/05.md

32 lines
1.4 KiB
Markdown

# Taarifa kwa Ujumla
Yahweh anaendelea kumwambia Musa kinachowapasa watu kukifanya
# utatoa ili kupata kibali.
Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. Maana zinazowezekana ni 1) Yahweh atampokea mtu atoaye hiyo dhabihu. : "yapasa uilitoe ili kwamba huenda atakupokea" au 2) Yahweh ataikubali dhabihu kutoka kwa huyo mtu. : "yakupasa kuitoa ili kwamba huenda Yahweh ataipokea dhabihu yako."
# sharti iliwe
Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "Sharti muile"
# lazima kiteketezwe kwa moto
Tazama maelezo ya 19:6
# Endapo kitaliwa hata kidogo
Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "Ikiwa utakula hata sehemu hata yake yoyote"
# Hakitakubalika
Kula sadaka baada ya wakati ulioteuliwa ni kwenda kinyume na Mungu na huongeza hatia ambayo dhambi ilikuwa iifunike. Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "usiikubali hiyo kwa ulaji"
# kila akilaye ni lazima atachukua hatia yake
Ile hati ya mtu imezungumziwa kana kwamba illikuwa kitu chenye maumbile ambacho mtu hukibeba. Neno "hatia" hapa huwakilisha ile adhabu kwa hatia hiyo. : Kila mmoja...anawajika kwa hatia yake mwenyewe" au Yahweh atamwadhibu kila mmoja...kutokana na dhambi zake mwenyewe
# Mtu huyo sharti atakatiliwa mbali na watu wake
Tazama lilivyofasiriwa katika 7:19 : "inawezekana mtu huyo asiendelee kuishi kuishi miongoni mwa watu wake" au "ni lazima mmtenge mtu huyo na wa watu wake"