# Taarifa kwa Ujumla Yahweh anaendelea kumwambia Musa kinachowapasa watu kukifanya # utatoa ili kupata kibali. Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. Maana zinazowezekana ni 1) Yahweh atampokea mtu atoaye hiyo dhabihu. : "yapasa uilitoe ili kwamba huenda atakupokea" au 2) Yahweh ataikubali dhabihu kutoka kwa huyo mtu. : "yakupasa kuitoa ili kwamba huenda Yahweh ataipokea dhabihu yako." # sharti iliwe Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "Sharti muile" # lazima kiteketezwe kwa moto Tazama maelezo ya 19:6 # Endapo kitaliwa hata kidogo Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "Ikiwa utakula hata sehemu hata yake yoyote" # Hakitakubalika Kula sadaka baada ya wakati ulioteuliwa ni kwenda kinyume na Mungu na huongeza hatia ambayo dhambi ilikuwa iifunike. Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "usiikubali hiyo kwa ulaji" # kila akilaye ni lazima atachukua hatia yake Ile hati ya mtu imezungumziwa kana kwamba illikuwa kitu chenye maumbile ambacho mtu hukibeba. Neno "hatia" hapa huwakilisha ile adhabu kwa hatia hiyo. : Kila mmoja...anawajika kwa hatia yake mwenyewe" au Yahweh atamwadhibu kila mmoja...kutokana na dhambi zake mwenyewe # Mtu huyo sharti atakatiliwa mbali na watu wake Tazama lilivyofasiriwa katika 7:19 : "inawezekana mtu huyo asiendelee kuishi kuishi miongoni mwa watu wake" au "ni lazima mmtenge mtu huyo na wa watu wake"