sw_tn/lev/19/05.md

1.4 KiB

Taarifa kwa Ujumla

Yahweh anaendelea kumwambia Musa kinachowapasa watu kukifanya

utatoa ili kupata kibali.

Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. Maana zinazowezekana ni 1) Yahweh atampokea mtu atoaye hiyo dhabihu. : "yapasa uilitoe ili kwamba huenda atakupokea" au 2) Yahweh ataikubali dhabihu kutoka kwa huyo mtu. : "yakupasa kuitoa ili kwamba huenda Yahweh ataipokea dhabihu yako."

sharti iliwe

Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "Sharti muile"

lazima kiteketezwe kwa moto

Tazama maelezo ya 19:6

Endapo kitaliwa hata kidogo

Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "Ikiwa utakula hata sehemu hata yake yoyote"

Hakitakubalika

Kula sadaka baada ya wakati ulioteuliwa ni kwenda kinyume na Mungu na huongeza hatia ambayo dhambi ilikuwa iifunike. Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "usiikubali hiyo kwa ulaji"

kila akilaye ni lazima atachukua hatia yake

Ile hati ya mtu imezungumziwa kana kwamba illikuwa kitu chenye maumbile ambacho mtu hukibeba. Neno "hatia" hapa huwakilisha ile adhabu kwa hatia hiyo. : Kila mmoja...anawajika kwa hatia yake mwenyewe" au Yahweh atamwadhibu kila mmoja...kutokana na dhambi zake mwenyewe

Mtu huyo sharti atakatiliwa mbali na watu wake

Tazama lilivyofasiriwa katika 7:19 : "inawezekana mtu huyo asiendelee kuishi kuishi miongoni mwa watu wake" au "ni lazima mmtenge mtu huyo na wa watu wake"