sw_tn/lev/16/34.md

8 lines
294 B
Markdown

# Taarifa kwa Ujumla
Yahweh anamaliza kumwambia Aroni kile ambacho watu yawapasa kufanya.
# Hili lilifanyika kama Yahweh alivyomwamuru Musa.
Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utengaji. : "Naye Musa akafanya kama alivyoamru Yahweh" au "Naye Aroni akafanya kama Yahweh alivyomwamru Musa"