# Taarifa kwa Ujumla Yahweh anamaliza kumwambia Aroni kile ambacho watu yawapasa kufanya. # Hili lilifanyika kama Yahweh alivyomwamuru Musa. Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utengaji. : "Naye Musa akafanya kama alivyoamru Yahweh" au "Naye Aroni akafanya kama Yahweh alivyomwamru Musa"