sw_tn/lev/16/34.md

294 B

Taarifa kwa Ujumla

Yahweh anamaliza kumwambia Aroni kile ambacho watu yawapasa kufanya.

Hili lilifanyika kama Yahweh alivyomwamuru Musa.

Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utengaji. : "Naye Musa akafanya kama alivyoamru Yahweh" au "Naye Aroni akafanya kama Yahweh alivyomwamru Musa"