sw_tn/lev/16/32.md

417 B

ambaye atapakwa mafuta na kuwekwa wakfu

Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "watakayempaka mafuta na kumweka wakfu.

katika nafasi ya baba yake

Kuhani mkuu alipokufa , mmoja wa wanawe angechukua nafasi yake.

mavazi matakatifu

Hizi ni nguo maalum alizopaswa kuzivaa kuhani mkuu alipoingia mahali patakatifu pa patakatifu

kwa ajili ya kusanyiko la watu.

"kwa ajili ya watu wote wa Israeli"