sw_tn/lev/16/32.md

16 lines
417 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# ambaye atapakwa mafuta na kuwekwa wakfu
Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "watakayempaka mafuta na kumweka wakfu.
# katika nafasi ya baba yake
Kuhani mkuu alipokufa , mmoja wa wanawe angechukua nafasi yake.
# mavazi matakatifu
Hizi ni nguo maalum alizopaswa kuzivaa kuhani mkuu alipoingia mahali patakatifu pa patakatifu
# kwa ajili ya kusanyiko la watu.
"kwa ajili ya watu wote wa Israeli"