# ambaye atapakwa mafuta na kuwekwa wakfu Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "watakayempaka mafuta na kumweka wakfu. # katika nafasi ya baba yake Kuhani mkuu alipokufa , mmoja wa wanawe angechukua nafasi yake. # mavazi matakatifu Hizi ni nguo maalum alizopaswa kuzivaa kuhani mkuu alipoingia mahali patakatifu pa patakatifu # kwa ajili ya kusanyiko la watu. "kwa ajili ya watu wote wa Israeli"